Duka la mtandaoni
Duka lako mtandaoni
Mteja mpya anachagua kuletewa au kuchukua na eneo lake, kisha anaangalia bidhaa zako zenye picha na bei za eneo hilo.
- Anwani yako: jinalako.uzapoa.co.tz
- Kikapu kinachoonyesha gharama ya kuletewa na kiasi kinachobaki kufikia oda ya chini
- Malipo: lipa ukipokea, lipa ukichukua au pesa ya simu

